Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeishauri Wizara ya Maliasili na Utalii iendelee kuzifanyia maboresho kanuni na taratibu za uwekezaji kwenye maeneo ya Hifadhi za Taifa ili kuvutia wawekezaji wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi hali itakayoongeza ajira na Pato la Taifa. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ally Juma Makoa…
