WhatsApp Image 2024 09 10 at 14.01.32

Mradi wa Tsh milioni 50 wakabidhiwa Jumuiya Hifadhi ya Wanyamapori

Mradi wa Tsh milioni 50 wa Kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Wanyamapori (IWT) umekabidhiwa kwa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori (WAGA). Mradi huo uliopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, umekabidhi mizinga ya kisasa 300, vifaa mbalimbali vya kufugia nyuki na kusindika asali vyenye gharama ya shilingi milioni 50. “Endapo WAGA watashiriki…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 09 09 at 13.32.51

Wananchi washukuru kupatiwa elimu ya fedha

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia elimu ya fedha itakayowasaidia kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa za uwekezaji ili kujiongezea kipato na kuongeza thamani ya akiba zao. Wananchi hao wametoa shukrani hizo baada ya kupata mafunzo ya elimu ya fedha yaliyoratibiwa na Wizara ya Fedha, yenye kauli mbiu “Elimu ya fedha…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 08 19 at 12.28.57

Asali ya Tanzania yapata kibali kuuzwa China

Katika hatua kubwa inayotarajiwa kuleta mapinduzi katika sekta ya ufugaji nyuki, Serikali ya Tanzania imefanikiwa kusaini makubaliano na Serikali ya China, kuruhusu uuzaji wa asali ya Tanzania kwenye soko la China. Makubaliano haya yanafuatia jitihada za muda mrefu za kuhakikisha bidhaa za asali kutoka Tanzania zinapata nafasi ya kuuzwa katika soko kubwa zaidi duniani. Akizungumza…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks