WhatsApp Image 2024 11 19 at 17.11.29 e1732025998363

Kongamano la kwanza la kikodi nchini lakutanisha wadau

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imefanya kongamano la kodi kikanda kwa kuwakutanisha Wadau kutoka sekta binafsi wakijumuisha wataalam na washauri wa kodi, wadau wa sekta mbalimbali nchini, wafanyabiashara, wazalishaji wa bidhaa na mazao mbalimbali pamoja na Makundi Maalum ili kuboresha mifumo ya kodi itakayochochea mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini. Hayo yameelezwa na Kamishna…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 11 05 at 13.23.40 1

Tanzania, Ujerumani kubadilishana teknolojia sekta ya kilimo

Serikali ya Ujerumani imesema ipo tayari kubadilishana teknolojia za kisasa na mifumo bora ya Kilimo wanayotumia itakayowawezesha wakulima wa Tanzania kuinua kiwango cha uzalishaji mazao mbalimbali ili iweze kuzalisha mazao hayo na yaweze kupata soko katika Bara la Ulaya. Hayo yameelezwa katika kikao kazi kati ya Tanzania na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Bavaria, nchini Ujerumani….

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 10 25 at 17.18.30

Dkt. Kiruswa awataka wananchi Rukwa kuomba leseni za uchimbaji mdogo wa madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka wananchi wa mkoa wa Rukwa kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya madini kwa kuomba Leseni za Uchimbaji Mdogo ili waweze kushiriki kikamilifu katika uchumi wa madini. Dkt. Kiruswa ametoa wito huo leo, Oktoba 24, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa Vijiji vya Zimba na Misheni vilivyoko katika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks