Maliasili na Utalii kutumia akili bandia (AI)
Wizara ya Maliasili na utalii imesema inaanza kutumi akili bandia (Artificial Intelligence) katika kutekeleza majukumu yake ili kuleta ufanisi wenye tija katika tafiti za Wanyama. Imeeleza kuwa hivi karibuni itaanza kutumia AI kwenye kuandikisha watalii kutokea nchi wanazotoka hadi kwenye vivutio vya utalii watakavyotembelea. Haya yamebainika wakati Kamati ya Bunge ya kudumu ya Ardhi, Maliasili…
