Petroli, dizeli zashuka, mafuta ya taa yapanda
Bei ya mafuta ya petrol na dizeli zimeshuka kutoka Tsh 3,281 hadi 3,274 kwa lita ya petroli na Tsh 3,448 hadi 3,374 kwa lita ya dizeli kwa mkoa wa Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta zinazoanza kutumika Novemba 01,2023. Bei hizo…
