Waziri ataka shirika la utalii duniani kuzingatia usawa utoaji ajira
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Jasmine Kairuki ametoa wito kwa Shirika la Utalii Duniani (UNWTO) kuzingatia usawa katika kutoa ajira ikiwemo masuala ya kijinsia. Wito huo umetolewa Oktoba 16, 2023, wakati akichangia mjadala katika Kikao cha Kamati ya Programu na Bajeti ya Shirika la Utalii Duniani, ambayo Tanzania ni mjumbe anayemaliza muda wake. Kikao…
