Screen Shot 2025 03 06 at 3.47.11 PM

Tanzania yaonesha fursa za uwekezaji sekta ya utalii nchini Ujerumani

Wizara ya Maliasili na utalii kupitia taasisi zake za Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Shirika la hifadhi za Taifa(TANAPA) na Mamlaka ya Uhifadhi wa Eneo la Ngorongoro(NCAA) imeendelea kutangaza fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii nchini. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula alipotembelea banda la Maonesho la Tanzania katika Maonesho…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 11 05 at 13.23.40 1

Tanzania, Ujerumani kubadilishana teknolojia sekta ya kilimo

Serikali ya Ujerumani imesema ipo tayari kubadilishana teknolojia za kisasa na mifumo bora ya Kilimo wanayotumia itakayowawezesha wakulima wa Tanzania kuinua kiwango cha uzalishaji mazao mbalimbali ili iweze kuzalisha mazao hayo na yaweze kupata soko katika Bara la Ulaya. Hayo yameelezwa katika kikao kazi kati ya Tanzania na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Bavaria, nchini Ujerumani….

Soma Zaidi
uuu

Marekani, Kenya zaongoza utalii Tanzania

Marekani na Kenya zimetajwa kuwa ndio nchi zinazoongoza kwa watalii wanaotembelea Tanzania. Utalii wa Tanzania umeanza kuongezeka ambapo takwimu zinaonyesha kuwa kuanzia Januari mpaka Julai mwaka huu Tanzania imepata watalii 742,133 sawa na ongezeko la asilimia 62.7 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana ambapo kulikuwa na watalii 456,266. Kati ya watalii 742,133 walioingia nchini,…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks