Kama unafanya biashara ya miwani hii inakuhusu pesatu.com

Kama unafanya biashara ya miwani hii inakuhusu

Uuzaji wa miwani kiholela umeshamiri katika maeneo mengi nchini husasani mijini. Miwani hizo nyingi zikiwa ni zile zinazotajwa kuwa ni miwani za urembo. Mbali na kumsababishia madhara mtumiaji anayetumia miwani pasipo kuipima na kupima macho yake, pia mtu yeyote anayejihusisha na biashara ya miwani anatakiwa azingatie sheria ya Optometria sura namba 23 ikiwemo kusajiliwa katika…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 05 02 at 12.24.08 PM

Maua ni fursa ya biashara

Watu wengi wanapenda kupendezesha nyumba zao ama ofisi kwa mapambo mbalimbali ikiwemo maua. Ama kwa hakika, bustani za maua mbalimbali zinazotunzwa vizuri ni kivutio kikubwa husasani majumbani na sehemu zingine mbalimbali. Vijana wengi wameanzisha biashara ya kuuza maua na wengine wakifanya kazi ya kutengeneza bustani (garden) kwa utaalamu. Biashara hii ambayo inakua kwa kasi imeweza…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 02 at 3.47.51 PM

Wananchi waaswa kukopa sehemu rasmi kujiepusha na udhalilishaji

Wananchi wametakiwa kukopa mikopo inayotolewa na Serikali na Taasisi rasmi ili kujiepusha na udhalilishaji unaoweza kutokea kutokana na kukopa mikopo yenye masharti magumu kutoka kwa Taasisi zisizo rasmi na kwa wakopeshaji binafsi. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Binuru Shekidele alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks