Rais Ruto awataka Wakenya kujifunza kuweka akiba
Rais wa Kenya William Ruto amewataka Wakenya kuwa na utamaduni wa kuweka akiba hususani kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. “Sisi ni miongoni mwa nchi za mwisho katika kuweka akiba katika bara letu, hamuwezi kuamini. Kwa sasa tuna takribani akiba ya 1.5 trilioni ambayo ni kiwango kidogo sana, mnajua hivyo?. Hatuna namna zaidi ya kubadilisha…
