Tanzania, Austria kushirikiana elimu ya ufundi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Austria zimekubaliana kuimarisha sekta za elimu ya ufundi pamoja na utalii. Makubaliano hayo yameafikiwa katika Mkutano wa Waziri wa Maliasili na Utalii Angelah Kairuki na Waziri wa Kazi na Uchumi wa Austria Prof. Martin Kocher walipokutana katika Ofisi Ndogo za Wizara ya…
