Tanzania, Ujerumani kubadilishana teknolojia sekta ya kilimo
Serikali ya Ujerumani imesema ipo tayari kubadilishana teknolojia za kisasa na mifumo bora ya Kilimo wanayotumia itakayowawezesha wakulima wa Tanzania kuinua kiwango cha uzalishaji mazao mbalimbali ili iweze kuzalisha mazao hayo na yaweze kupata soko katika Bara la Ulaya. Hayo yameelezwa katika kikao kazi kati ya Tanzania na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Bavaria, nchini Ujerumani….
