Dkt. Mwinyi: wana CCM jivunieni mafanikio kwa maendeleo nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa mafanikio ambayo Chama cha Mapinduzi (CCM) imeyapata ndani ya miaka 48 tangu kuasisiwa kwake ni kielelezo muhimu cha ubora wake na tofauti yake na vyama vingine vya siasa ndani na nje ya nchi. Dkt. Mwinyi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti…
