Wanawake kundi lenye matumizi madogo huduma rasmi za kifedha
Gavana wa Benki Kuu ya (Tanzania BoT) Emmanuel Tutuba, amesema utafiti wa Finscope wa mwaka 2023, unaonesha kuwa wanawake hawajafikiwa na wana matumizi madogo ya huduma rasmi za kifedha. Gavana Tutuba amesema hayo Machi 05, 2025 kwenye mkutano na viongozi mbalimbali wa sekta ya fedha, hususan sekta ya kibenki, pamoja na wadau wa maendeleo. Katika…
