Riba ya benki kuu kuendelea kuwa asilimia sita
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeamua kuendelea na kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) cha asilimia 6 kwa robo ya pili ya mwaka 2025. Akizungumza mbele ya wakuu wa benki na taasisi za fedha pamoja na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Gavana wa Benki Kuu…
