kiza

Maandamao mfumuko wa bei yamtia matatani Kizza Besigye

  Kampala. Mwanasiasa ambae pia amewahi kugombea nafasi ya urais mara nne nchini Uganda Dk. Kizza Besigye amekamatwa na polisi nchini humo. Besigye amekamatwa baada ya kujaribu kurudisha maandamano yenye jina “Muzuukuke” ikimaanisha “amka” leo Mei 23 asubuhi. Maandamano hayo yanatokana na kupanda kwa gharama za maisha. Kabla ya kukamatwa, kiongozi huyo wa upinzani alikuwa…

Soma Zaidi
nnnnn

Mteja ni mfalme: Waziri wa utalii

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa sekta ya utalii pamoja na kuendelea kuboresha  huduma za kitalii. Huduma hizo ni pamoja na upatikanaji wa leseni ya shughuli za utalii kwa uharaka zaidi na mifumo ya malazi. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro amesema hayo jijini Dares Salaam wakati akikabidhi vyeti kwa…

Soma Zaidi
suluhu

Mjitokeze kuhesabiwa: Rais Samia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika Agosti 25 mwaka huu. Rais Samia maetoa wito huo akizungumza katika kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli katika uwanja wa Magufuli, Chato. “Tuendelee kuelimishana na…

Soma Zaidi
nbc

Wanawake 200 wapata mafunzo ya biashara

Takribani wanawake 200 wamepata mafunzo ya biashara yaliyolenga kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo yametolewa  na benki ya NBC kwa wafanyabiashara katika kipindi cha maonesho ya Viwanda kwa Wanawake wajasiriamali kwa mwaka 2022. Neema Rose Singo amabae ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC amesema “tumetoa mafunzo kwa wanawake wafanyabiashara takribani 200, na tunaamini mafunzo haya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks