mmm

Vijana jitengezeeni ajira: Makinda

Spika mstaafu wa Bunge ambae pia ni Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi. Makinda amewataka vijana kutumia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi badala ya kutegemea ajira kutoka serikalini au sekta binafsi. Makinda ametoa wito huo kwa vijana wakati akizungumza Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha…

Soma Zaidi
TT

Japan kununua kilo milioni 30 za tumbaku

Kampuni ya Japan Tobacco Incorporation (JTI) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania katika msimu ujao wa kilimo. Ahadi hiyo na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Bw. Masamichi Terabatake mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyetembelea ofisi zao ili kuwahakikishia utekelezaji wa mazungumzo yaliyofanyika wakati wa mkutano wa TICAD…

Soma Zaidi
Usione aibu kufanya biashara ya halali inayokuingizia kipato umaskini ni aibu kubwa zaidi. 34

Taasisi 50 kushiriki kongamano la biashara

Takribani Taasisi 50 zinatarajiwa kushiriki Kongamano la Biashara la Kimataifa  lililoandaliwa na Jukwaa lijulikanalo kama ‘China Trade Week’ (CTW) na kuwahusisha wafanyabiashara mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Kongamano hilo litakalohusisha maonesho zaidi ya bidhaa 200, litafanyika  Septemba 26 hadi 28 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Bidhaa hizo ni pamoja na bidhaa za kielektroniki,…

Soma Zaidi
kkkk

Kariakoo saa 24

Mara baada ya ujenzi wa soko la Kariakoo kukamilika biashara zinatarajiwa kufanyika kwa saa 24. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameeleza hayo Julai 18, 2022 alipokutana na watendaji na viongozi wa mkoa kuzungumzia kampeni yake ya kuiependezesha Dar es Salaam. Mkuu huyo wa mkoa amesema Dar es Salaam ni Jiji la…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks