Wanawake watakiwa kupata elimu ya fedha kabla ya mikopo
Wanawake wametakiwa kuacha kukimbilia kukopa fedha kabla ya kuwa na elimu ya fedha. Kutokuwa na elimu ya fedha kunawasababisha kuishia kupata matatizo mbalimbali kutokana na madeni kwa kushindwa kulipa mikopo hiyo. Beng’i Issa ambae ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC), ameyasema hayo na kudai kuwa sekta ya fedha imekuwa…
