AirFrance yazindua safari za moja kwa moja DSM
Shirika la ndege la AirFrance limezindua safari zake za moja kwa moja kutoka Paris nchini Ufaransa hadi Dar es Salaam nchini Tanzania. Mapokezi ya ndege hiyo aina ya Boeing 787-9 yamefanyika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) Juni 12, 2023. Uzinduzi wa safari hizo umeshuhudiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi…
