Matumizi huduma rasmi za fedha Tanzania kufika 85% ifikapo 2028
Tanzania imejiwekea shabaha kufikia mwaka 2028 kiwango cha utumiaji wa huduma rasmi za kifedha kifike 85%. Tafiti ya Finscope ya mwaka 2023, inaonesha kiwango cha utumiaji wa huduma rasmi za kifedha nchini kiliongezeka hadi kufikia asilimia 76. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba ameeleza hayo alipokutana na ujumbe wa Taasisi ya Fedha…
