Rais Mwinyi: TEHAMA ni fursa kiuchumi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema uzinduzi wa Minara ya mawasiliano ya simu kwa kiasi kikubwa itaiwezesha Zanzibar kuingia katika Teknolojia ya Mawasiliano ya TEHAMA. Amesema hiyo ni fursa muhimu kwa wananchi pamoja na kukua kwa sekta ya Uwezeshaji kiuchumi. Dkt. Mwinyi amesema hayo katika Ufunguzi wa…
