Rais Mwinyi: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa amani na utulivu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia wananchi kuwa Uchaguzi Mkuu Ujao Utafanyika kwa Amani na Utulivu. Alhaj Dkt. Mwinyi ameyasema hayo alipotoa Salamu baada ya Kujumuika kwa Sala ya Ijumaa Masjid Raudha Uliopo Darajabovu, Mkoa wa Mjini Magharibi Aprili 4, 2025. Amesema kuwa dhamira ya Serikali anayoiongoza…
