Hoteli ya kisasa yafunguliwa kituo cha Mabasi Magufuli
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amezindua Hotel ya kisasa iliyopo ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli kwaajili ya abiria na wageni wanaoingia na kutoka kwenye kituo hicho. Hoteli hiyo ni ya ubia baina ya Halmashauri ya Ubungo na mwekezaji. Akizindua hotel hiyo, RC Makalla ameelekeza hotel kuachwa ijiendeshe kibiashara…
