Kiwanda cha Twiga kuwekeza kiwanda cha saruji Tanga
Serikali imewahakikishia watanzania kuwa uwekezaji mpya wa zaidi ya dola za Marekani milioni 400 utakaofanywa na kiwanda cha saruji cha Twiga kwenye kiwanda cha saruji Tanga, utaongeza uzalishaji wa saruji, kukuza ajira na mapato ya Serikali kupitia kodi mbalimbali. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigilu Nchemba pamoja na Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara…
