Ukuaji Sekta ya Madini waongeza mahitaji ya umeme Tanzania: Dkt. Biteko pesatu.co.tz

Ukuaji Sekta ya Madini waongeza mahitaji ya umeme Tanzania: Dkt. Biteko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema ongezeko la shughuli za uchimbaji na uongezaji thamani sekta ya madini limechochea mahitaji makubwa ya nishati ya umeme nchini, hali inayothibitisha kasi ya ukuaji wa sekta hiyo. Amebainisha hayo Septemba 28, 2025, wakati akihitimisha Maonesho ya 8 ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita,…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 06 at 1.56.23 PM

Ukosefu wa mitaji watajwa changamoto inayowakabili wachimbaji wadogo

Kukosekana kwa mitaji kumetajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayowakabili wachimbaji wadogo wa madini katika mgodi wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa. Mwenyekiti wa Wachimbaji Mkoa wa Iringa ambaye pia ni miongoni mwa wamiliki wa mgodi wa Konga, uliopo kijiji cha Itengulinyi, mkoani Iringa Ibrahim Msigwa amesema ameitaja…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 01 07 at 12.29.20 PM

Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini

Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na Italia katika kuendeleza sekta ya madini nchini hususani katika teknolojia na mitambo. Ameyasema hayo Januari 06, 2025 alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Giuseppe Coppola katika ofisi ndogo za Wizara ya Madini Jijini Dar es Salaam. “Rais…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks