Vituo 5 vya gesi asilia kujengwa nchini
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kufikia Desemba, 2023, linatarajia kujenga vituo vitano vya gesi asilia nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika Maonyesho ya 16 Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio amesema vituo hivyo vitasaidia kupunguza malalamiko ya kuwa na vituo vichache vya gesi asilia….
