Maagizo ya Rais Dkt. Samia TRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamisha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda kusimamia usawa katika kulipa kodi. Rais Dkt. Samia ametoa tamko hilo Januari 23, 2025 wakati wa hafla ya utoaji tuzo za shukrani kwa Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 zilizotolewa na TRA katika ukumbi wa…
