Watia nia kiti cha Urais na ahadi ya kukuza uchumi wa Tanzania
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo ameahidi kukuza uchumi endapo atashinda nafasi ya kuwa Rais. Akiwa ameambatana na Mgombea mwenza wake aitwaye Mashavu Alawi Haji, Mirambo ametoa ahadi hiyo August 11, 2025 wakati akichukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma….
