WhatsApp Image 2023 02 17 at 18.25.40

Huduma za TEHAMA kusaidia kukabiliana na majanga

Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeandaa rasimu ya Mpango Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano wakati wa Majanga ili kusaidia katika kujiandaa, kugundua na kukabiliana nayo. Rasimu hiyo itasaidia kuzuia au kupunguza athari na maafa yanayoweza kutokea na kugharimu maisha, uharibifu wa rasilimali na miundombinu ya nchi. Hayo yamebainishwa Februari 16, 2023 jijini Dodoma…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 02 15 at 13.42.28

Serikali yasaini makubaliano kusimamia bunifu

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Kampuni ya Tanzania Startups Association (TSA) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kuanzisha na kuimarisha miongozo mbalimbali inayosimamia bunifu na kampuni changa nchini (startup’s policy) Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Februari 14, 2023 jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi amesema lengo ni…

Soma Zaidi
sasas

TCRA yatangaza fursa wabunifu wa TEHAMA

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka vijana wabunifu na wavumbuzi wa programu mbalimbali za kidijitali kujitokeza kupata rasilimali zitakazowawezesha kupata fursa ya kutengeneza ajira; kujiletea kipato na kutatua changamoto mtambuka za jamii. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dk. Jabir Bakari amesema mapema leo Jumatatu Novemba 14, 2022 kuwa mamlaka hiyo kwa kushirikiana na taasisi nyingine imeamua…

Soma Zaidi
QW

Serikali kujenga chuo cha TEHAMA Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhuri ya Korea imekubali kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika ujenzi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasilino (Tehama) nchini Tanzania. Majaliwa amesema lengo la chuo hicho ni kuwasaidia vijana kuendeleza ubunifu wao na kuonesha namna wanavyoweza kuunda vifaa mbalimbali. Amesema hayo Oktoba 27, 2022 baada…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks