Rais Samia aipa Zambia hekta 20 Bandari kavu Kwala, Pwani
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi kwa wananchi wa Zambia kwa kutenga hekta 20 za ardhi katika Bandari Kavu eneo la Kwala mkoani Pwani. Rais Samia amesema hayo wakati akihutubia katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wan chi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Ikulu. Amesema wakiongelea mgawanyo wa rasilimali, msisitizo ni kila…
