WB, GCA washirikiana kutoa mafunzo elekezi kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Benki ya Dunia (WB) kwa kushirikiana na Global Climate Adaption (GCA) imetoa mafunzo elekezi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa (Climate Adaption) kwa wadau wa Sekta ya Kilimo wanaotekeleza Programu ya Mifumo Himilivu ya Chakula Tanzania (TFSRP). Mafunzo hayo ya siku mbili Machi 17-18, 2025, yamefanyika katika ukumbi wa Nashera jijini Dodoma. Lengo…
