sawaqq

Asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ifakapo 2034

Inategemewa kuwa baada ya miaka tisa kutoka sasa (2025), asilimia 80 ya Watanzania watakuwa wanatumia nishati safi ya kupikia. Hiyo, itakuwa ni matokeo ya utekelezaji wa Mkakati wa Nishati safi ya Kupikia kitaifa unaosimamiwa na Kamati ya wataalam iliyoundwa na Maafisa Waandamizi kutoka katika Wizara na Taasisi mbalimbali. Kamati hiyo imefanya kikao kazi katika Ofisi…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 05 at 2.07.15 PM

Serikali kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile kampuni ikibadilisha jina kukwepa ulipaji kodi

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua madhubuti kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi unaosababishwa na mabadiliko ya majina ya kampuni za kigeni kwa kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile hata kama kampuni itabadilisha jina. Hayo ameyasema bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Tarime Mjini Michael…

Soma Zaidi
Bei petrol, dizeli zashuka Tanzania pesatu.com

Bei ya mafuta yaongezeka mwezi Februari

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Februari 05, 2025 kwa rejareja na jumla. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, bei ya petroli kwa rejareja katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.957, dizeli kwa asilimia…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks