Dkt. Biteko ataka fursa kwa mtoto wa kike ianzie katika ngazi ya familia
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameitaka jamii kuongeza nguvu ya kumpa fursa ya elimu mtoto wa kike kuanzia ngazi ya familia ikiwa ndiyo msingi wa maendeleo ya jamii. Dkt. Biteko amesema hayo jijini Dar es Salaam katika Kongamano lililoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communication “Citizen rising woman” ikiwa ni sehemu…
