Rais Samia azindua taasisi Zanzibar
Takwimu zinaonyesha ufaulu hafifu kwa watoto wa kike visiwani Zanzibar. Hali hiyo inakwamisha maendeleo ya haraka kwa mtoto wa kike na jamii nzima kwa ujumla. Taasisi ya Mwanamke Initiative (MIF) imetazama tatizo la changamoto ya ufaulu kwa watoto wa kike katika visiwa hivyo na kuja na suluhu ya kutaka kumaliza tatizo hilo. Juni 19, Rais…
