Mbogamboga, kilimo kinachokua kwa kasi
Sekta ya kilimo cha mboga mboga na matunda ni moja ya sekta zinazokua kwa haraka kwa mwaka. Sekta hii inakua kwa kati ya asilimia 7 mpaka 11 ukilinganisha na ukuaji wa sekta ya kilimo ambayo ni asilimia 4 hadi tano. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema sekta hii inatoa ajira za moja kwa moja au…
