WhatsApp Image 2024 08 01 at 15.52.51

Tanzania inahitaji dola za Marekani bilioni 6.3 kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

Tanzania inahitaji dola za Marekani bilioni 6.3 kwa mwaka ili kukabiliana na athari za papo kwa hapo zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hayo wakati akizindua rasmi Ripoti ya Mapitio ya Hali ya Mwenendo wa Uchumi wa Tanzania kwa mwaka 2024, iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi
wqw

Watanzania washauriwa kuwekeza kwenye misitu

Watanzania wametakiwa kuwekeza katika misitu na kushiriki katika ufugaji nyuki kwa kuzingatia njia sahihi zilizofanyiwa utafiti ili wapate tija katika rasilimali za misitu zilizopo nchini. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Utafiti wa Matumizi ya Misitu Dkt. Chelestino Balama wakati akiongea na baadhi ya timu ya wataalamu wa misitu na nyuki na waandishi wa habari…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 07 22 at 12.59.57

Hifadhi ya msitu asilia Matogoro ni utajiri na fursa iliyofichika ya kiutalii mikoa ya Kusini

Hifadhi ya Msitu Asili Matogoro yenye mandhari ya kuvutia ni kichocheo adhimu na muhimu cha kukuza utalii katika mikoa ya kusini hususan mkoa wa Ruvuma. Hifadhi hiyo imebeba hazina kubwa ya kihistoria ikiwemo uwepo wa mapango makubwa yaliyotumika wakati wa vita ya majimaji. Haya yamebainishwa na Naibu waziri wa maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula alipofanya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks