ACB yatakiwa kuongeza wigo uwekezaji na masoko
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad H Chande ameitaka Benki ya Akiba Commercial (ACB) kuendelea na jitihada za kuongeza wigo wa uwekezaji na masoko nje ya nchi ili kujiimarisha. Chande ametoa rai hiyo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank Plc (ACB), Silvest Arumasi, kuhusu fursa za maendeleo ofisini kwake, jijini Dodoma….
