Screen Shot 2025 03 03 at 11.46.54 AM

Rais Dkt. Samia kurudisha hadhi ya Tanga

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema anataka kurudisha hadhi ya Tanga iwe Tanga yenye viwanda, Bandari kubwa lakini pia Tanga ya uvuvi. Rais Dkt. Samia amesema hayo wakati alipotembelea Bandari ya Tanga Machi 01, 2025. Rais Samia amesema “kwa muda mrefu wana Tanga na Watanzania tulitamani kuona manufaa zaidi kwa Bahari zetu na…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 08 18 at 11.45.40

Uzalishaji miche ya mkonge kwa chupa kufikia milioni 10

Serikali imepanga kuzalisha miche milioni kumi kwa njia ya teknolojia ya chupa (Tissue Culture) kupitia maabara ya kisasa inayojengwa katika Kituo cha Utafiti TARI Mlingano, Wilaya ya Muheza, Tanga. Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde amebainisha hayo alipotembelea kituo cha TARI Mlingano na kukagua maendeleo ya ujenzi wa maabara hiyo. “Mahitaji ya miche ya mkonge…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 05 30 at 4.32.13 PM

TANAPA yapongezwa juhudi za kutangaza utalii

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA) limepongezwa kwa juhudi kubwa inazofanya za kutangaza vivutio vya utalii. Pongezi hizo zimetolewa leo na Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Dkt. Ashatu Kijaji alipotembelea banda la TANAPA wakati akifungua rasmi maonesho ya 9 ya biashara yanayofanyika jijini Tanga. Maonesho haya yanaendelea hadi tarehe 6/6/2022. Sekta mbalimbali, mashirika ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks