Serikali yakataa Sh bilioni 109 gawio la Tanesco
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema Serikali imeamua kukataa gawio la Sh 109 bilioni lililotolewa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Mchechu amesema hayo katika uzinduzi wa taarifa ya mwaka wa fedha 2021/2022 na Mapango mkakati wa Shirika wa miaka kumi. Amesema serikali imeachia Shirika hilo fedha hizo ili zitumike katika kupanua miradi ya umeme…
