Serikali yawekeza bilioni 751.1 kwenye kilimo 2022/23
Serikali imewekeza jumla ya Tsh. 751.1 billioni katika sekta ya kilimo ikiwa ni sawa la ongezeko la asilimia 155.3% kwa mwaka 2022/2023 kutoka sh. 294.16 billioni ilizowekeza katika sekta hiyo mwaka uliopita. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka…
