Dola 1000 kwa vijana kukabiliana na mabadiliko tabia nchi
Vijana wapatao 10 kutoka mataifa mbalimbali duniani watapatiwa kiasi cha Dola za Kimarekani 1000 kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi. Haya yamebainika wakati Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula akihitimisha kongamano la Kimataifa la vijana kuhusu Mabadiliko ya Tabia nchi katika chuo Kikuu cha Dar es salaam….
