Serikali ya Tanzania kukabiliana na tatizo la njaa
Serikali itaendelea kuimarisha ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji kutoka hekta 727,280 msimu wa 2022/2023 hadi kufikia hekta 1,200,000 ifikapo 2025. Nyingine ni kuimarisha upatikanaji wa mbegu bora za mazao zinazohimili mabadiliko ya tabianchi na usambazaji wa mbolea kwa mpango wa ruzuku ili kuweza kukabiliana na tatizo la njaa nchini. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde…
