Shirikianeni na serikali mnapopata wageni mashuhuri: Dkt. Abass
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi amezitaka kampuni za utalii nchini kushirikiana na serikali kutanga utalii wanapopata wageni mashuhuri. Dkt. Abass amesema hayo wakati wa akizindua msafara wa mwanamuziki na mpiga kinubi maarufu aliyeshinda tuzo za Guiness kwa kufanya onesho katika kilele cha mlima Singla – Himalaya, Siobhan Brady ambae…
