Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia asilimia 66 mwaka jana. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa watumiaji wa huduma za fedha kwa njia ya simu walikuwa milioni 35.3 hadi mwezi Desemba mwaka jana sawa na asilimia 61…
