Boti za uvuvi, vizimba kuinua wananchi kanda ya ziwa
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua boti za uvuvi za kisasa 160 kwa wanufaika 989 pamoja na vizimba 222 vitakavyonufaisha watu 1,213. Wanufaika hao ni wa mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera, Simiyu na Geita. Akizungumza na wananchi Januari 30, 2024 katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza mara baada ya kuzindua na kukabidhi boti za uvuvi na…
