Vyakula vya mifugo ikiwemo samaki vyaondolewa VAT
Vyakula vya mifugo vinavyoingizwa nchini ikiwemo vyakula vya Samaki vinavyotambulika kwa HS Code 23.09 chini ya utaratibu wa utozaji ushuru wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki vimepewa msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT). Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchema wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti…
