Vita ya Ukraine na Russia, Tanzania haitanusurika: Rais Samia
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bidhaa zote nchini zitapanda bei. Amesema kuwa mabadiliko ya kupanda bei za bidhaa yanatatokana na kupanda bei ya mafuta duniani ambapo imechangiwa na vita inayoendelea kati ya Russia na Ukraine. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika viwanja vya Maisara, Zanzibar Rais Samia amesema Tanzania…
