Silinde aiagiza TPHPA kujenga maabara za kisasa Rusumo, Mutukula
Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde ameiagiza Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kujenga maabara za kisasa katika vituo vya ukaguzi vya mpaka wa Rusumo Ngara (karibu na nchi ya Rwanda) na Mutukula (karibu na nchi ya Uganda) ifikapo Februari 2025, zitakazo rahisisha zaidi utendaji kazi wa vituo hivyo. Silinde ametoa maagizo…
