Miradi ya “REGROW” Ruaha italeta watalii Kusini Dkt. Abbasi
Utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) utakuwa chachu ya kuongeza idadi kubwa ya watalii katika Hifadhi za maeneo hayo. Hivyo watekelezaji wa miradi hiyo wametakiwa kuhakikisha wanafanya kazi kwa umakini, kwa kasi inayohitajika na kwa kiwango cha juu ili ujenzi wa miundombinu yote ikamilike kwa wakati….
