The Royal Tour imefanikiwa kwa kiwango kikubwa: Masanja
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema filamu ya “The Royal Tour” imefanikiwa kwa kiwango kikubwa na kwamba kwa sasa watalii wameongezeka. Masanja ameyasema hayo alipotembelea maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba. Filamu hiyo, ilizinduliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. “Tunatambua kwamba ni nadra…
