Screen Shot 2025 05 27 at 12.33.51 PM

Wabunge wa Zambia watembelea mradi wa SGR

Wabunge kutoka Bunge la Zambia wametembelea Stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujionea maendeleo ya mradi wa reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) unaoendeshwa kwa umeme, ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya mafunzo na kubadilishana uzoefu katika sekta ya usafirishaji na miundombinu. Ujumbe huo umetembelea mradi huo Mei 26,…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 17 at 11.09.06 AM

Tanzania yang’ara utekelezaji shughuli za uwazi na uwajibikaji sekta ya madini

Serikali imesema itaendelea kuweka wazi taarifa za uwekezaji na mapato yanayopatikana katika sekta ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia nchini kama Sheria inavyotaka na kwa kuzingatia vigezo vya Uwazi na Uwajibikaji vinavyosimamiwa na Asasi ya Kimataifa ya EITI. Hayo yameelezwa Machi 13, 2025 na Innocent Bashungwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakati akifungua…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 03 at 11.46.54 AM

Rais Dkt. Samia kurudisha hadhi ya Tanga

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema anataka kurudisha hadhi ya Tanga iwe Tanga yenye viwanda, Bandari kubwa lakini pia Tanga ya uvuvi. Rais Dkt. Samia amesema hayo wakati alipotembelea Bandari ya Tanga Machi 01, 2025. Rais Samia amesema “kwa muda mrefu wana Tanga na Watanzania tulitamani kuona manufaa zaidi kwa Bahari zetu na…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 10 03 at 14.14.20

Tanzania yaishukuru IMF

Tanzania imelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo kupitia misaada na mikopo nafuu inayoipatia kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kukuza uchumi wa nchi. Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ametoa shukrani hizo Jijini Dodoma, wakati akifungua vikao vya majadiliano kati ya Serikali na Timu ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks